Mkuu wa Wilaya ya Moshi Mjini Novatus Makunga amelazimika kumvua
madaraka mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Komakya iliyoko Mkoani
Kilimanjaro kufuatia kukiuka maagizo ya Mkuu wa Mkoa ya kuwa vikao vyote
vinavyohusiana na michango ya wanafunzi kati ya wazazi na uongozi wa
shule kutolewa ufafanuzi kabla michango hiyo haijaanza kukusanywa
Hatua hiyo imekuja kufuatia simtofahamu iliyojitokeza kati ya wazazi wa wanafunzi na uongozi wa shule uliotolewa ya kwamba kabla ya michango kukusanywa ni lazima Ofisi ya Mkuu wa Mkoa kupewa Taarifa.
Mwanafunzi wa kidato cha nne Shule ya Sekondari Komakya iko umbali wa km 18 kutoka moshi mjini amelalama kuhusu kupoteza muda mwingi akifuatilia ada.
Sintofahamu ilijitokeza kwa wazazi wa wanafunzi wa shule hiyo mara baada tu walimu wa shule iyo kuwarudisha ada wanafunzi huku wakitaka kupewa ufafanuzi kuhusiana tamko la mh. Rais kuhusu elimu bure
Kufuatia suala hilo Mkuu wa wilaya ya Moshi mjini Novatus Makunga akalazimika kufika shuleni hapo na baada ya kusikiliza pande zote kumvua madaraka Mkuu wa Shule hiyo Bi.Rose Ngoti kufuatia kufanya maamuzi na wazazi wa shule kwa kuchangisha michango pasipo kuishirikisha Ofisi ya Mkuu wa Mkoa kama waraka wa seriklai unavyozitaka shule hizo
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi mjini ina jumla ya shule za Kata 57 wanafunzi 25,402 walimu 1300 huku changamoto kubwa ikiwa ni upungufu wa walimu wa sayansi katika shule hizo.

No comments:
Post a Comment